November 28, 2009

Mzungu Kichaa ft. Profesa Jay - "Jitolee" (translation)A very special thanks to Ari B. and Sis. S. Yasin who did most of the work on translating this song.

"JITOLEE" – Volunteer


Uchumi unashangaza / The economy is amazing/astonishing/ strange.

Wengine wanao wengine hawana / Some have it, some don’t

Wewe tajiri sikiliza mara moja / You rich man listen immediately

Usingekuwepo bila mama yako/ You wouldn’t exist without your mama

Nani aliamua awe mama yako / Who decided she should be your mama?

Hu ndiyo uamuzi wa dunia / Yeah that’s a decision the world made

Kwahiyo lazima uyaheshimu / Because of that you must respect it

Pamoja na akina mama wote / Together with all mothers

Chorus

Mikono juu / Hands up!

Jitolee na usaidie / volunteer and help somebody

Ombi kwa binadamu / Ask humanity (so that they)

Upendo usipotee / Don't lose love

PROF JAY

Heshima kwa baba heshima kwa mama / Respect to father, respect to mother

Heshimu kitu cha bure kila mtu anastaili / Respect is free, every person deserves it

Ila dunia sasa imejaa kitendawili / Yet the world now is filled with riddles/puzzles.

Unyama na ufedhuli sasa umeshika hatamu / Brutality and insolence have now taken over

Viliyo vya kinamama imekuwa kama salaam / The cries of the mothers have become like greetings

Jiulize ungekuwa nani kama asingekuwepo mzazi / Ask yourself who you would have been without someone to a parent (to you)

Ubinadaamu kazi, dunia inapata radhi / being humane/citizenship is demanding, the world is getting cursed.

Kila ninapopita matajiri hawana utu / Everywhere I pass rich people have no humanity

Roho za umasikini zimetawaliwa na kutu / Their impoverished souls are ruled by rust

Wanataka maisha bora wavivu wakuthubutu / They want a better life, lazy to attempt it

Waliyokatatama sasa wanashika mtutu / Those who have given up now reach for the barrel of a gun

Bajana ananiambia twenzetu ado ado / Bajana tells me to go/ move slowly .

Rusha mikono juu kama uko kamalikado / Throw your arms up ???[ANYONE KNOW PORTUGUESE?]

Espen obrigado / Thanks, Espen! (this is Mzungu Kichaa's "government" name)

CHORUS

Kuna watu tofauti katika dunia yetu / There are different people in our world

Mmoja anajaribu kusaidia jamii / One person tries to help the community

Wakati mwengine hajali kitu kuliko dola na senti / while another doesn’t care about anything more than cents and dollars.

Maendeleo hayana muelekeo / Progress doesn’t have direction

Kama tama inadumu kwenye kichwa chako / if greed remains in your head

Hautakuwa na umoja na dunia / then you won’t be in unison (unity) with the world

Binadamu baado wanalia / Human beings are still crying!

Umaskini unawabania / Poverty is limiting them

MWASITI

Kwanini hautaki kuwasaidia? / Why don't you want to help them?

Kwenye kaburi hautatumia / In the grave you wont be spending it.

Sababu ya kuletwa kwenye hii dunia / The reason you been brought into this world

Bado haitafanyikiwa / Still wont be reached.

Wewe ndiyo maskini / You are indeed the poor

Na hakuna mwengine /And there is no other.

0 comments:

  © Blogger templates The Professional Template by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP