May 17, 2010

Faida za Dhikri kabla ya Kulala

MTU AMBAYE ANATAKA MWENYEZI MUNGU AMPUNGUZIE UCHOVU (UZITO) WA KAZI YAKE

"Fatma, Mwenyezi Mungu amuwiye radhi,alimuomba mtume,Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani,ampe mtumishi, Mtume akamwambia Fatma;Je nikufundisheni yaliyokuwa bora kuliko hayo mlioniomba? Mkitaka kulala,mlete takbira allaahu akbaru mara 34, na mlete tahmidi alhamduli-laahi mara (33) na mlete Tasbihi subuhaanallaahi mara (33),hayo ni bora kwenu kuliko mtumishi"

0 comments:

  © Blogger templates The Professional Template by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP