October 10, 2008

Makazi mpyaNimehama eneo tofauti. Sasa nipo al-Ghubra. Basi, Niongee Kiarabu lakini wazazi wangu wapya wanaongea Kiswahili. Wanatoka Kenya, mjini Mombasa. Ijapokuwa wao ni 'Omani', wao ni Swahili pia. Wana bendera ya Kenya iko sebule. Ninashangaa kuongea Kiswahili zaidi kuliko kilometa elfu tatu kutoka Afrika Mashariki. Baba na mama wanakaa na mwanao nyumba moja imeyokatwa. Upande ni Wazazi, halafu upande nyingine ni mwanao na familia yake. Mke wake anatoka Kenya. Hawaongei Kiarabu. Wao wako mwema sana. Wamenipokea kabisa. Nimefurahi sana.
Picha hii ipo daraja juu ya barabara karibu na nyumba yao.
Ah, Kuna mambo muhimu sana niliyosahau kuwaambia: The father is the great-grandson of Tippu Tip!! That is, his father's mother was Tippu Tip's daughter! If you were in my Middle East Research Seminar, or know about my Masters paper topic, I know you will understand how crucial that is!

0 comments:

  © Blogger templates The Professional Template by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP