February 23, 2009

الفاتحة في السوحليKwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwingi wa ukarimu.
Sifa zote njema zinamhusu Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu,
Mwingi wa rehema, Mwingi wa ukarimu,
Mmiliki wa siku ya Malipo.
Wewe tu twakuabudu, na Wewe tu twakuomba msaada.
Utuongoze njia iliyonyoka,
Njia ya wale Uliowaneemesha; siyo ya (wale) waliokasirikiwa,
wala ya (wale) waliopotea.

Al-Fatiha in different languages

0 comments:

  © Blogger templates The Professional Template by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP