July 11, 2008

Matembeleo ya shambaa

Leo tulitembelea shambaa la moja karibu na T.C.D.C. Baada ya kusoma asubuhi, tulikula chakula cha mchana kitamu (as always the food is incredible...ugali, nyama choma, pumpkin soup, greens, beans in coconut sauce, and more). Halafu tulikutana kuondoka kwa shambaa saa saba na nusu. Tulifika saa nane kukutana mwanamke anayefanya kazi shambaa. Aliwaambia kwake kwenye na wanaume wake wananunua eneo yao mwaka elfu moja mia tisa themanini na nne. Wanalima mazao kama mahindi na maharagwe na mgomba. Wana nyuki na samaki kuuza. Tukirudi nyumbani tulisimama kununua mahindi za choma. Sijaribe kwa sababu sikuwa na njaa, nina kiu sana.
Leo ni Ijumaa. Sasa saa mbili takriban. Nitaandika barua pepe zaidi wakati nitakapo piga picha zaidi, nitaandika barua pepe zaidi. Karibu tena.

0 comments:

  © Blogger templates The Professional Template by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP