July 28, 2008

Nimefika Dar-es-Salaam salama


Sasa nipo internet cafe nikisoma na nikiandika barua pepe. Hamjambo wenye ambao wanasoma blog yangu. Nilifika juzi jioni na niliwakaribishwa Mwalimu Rose na familia yake. Mume wake na mtoto wa kiume walinikuta ipo Stopover karibu na nyumba yao katika eneo la....yallah! na sahau jina lake.
Nimefurahi kuwa na mahali ambapo ninakaa. Jana, nilitembea kila mahali Dar. Shemaji ya Mwalimu Rose alisindikiza na mimi. Nilikati tiketi kwa safari ya Zanzibar siku tatu zijayo.
Ninagundua kwamba maarifu ya Kiswahili inahitaji kutengeneza kwa mtumizi kila siku. Jana nilichoka sana nikijaribu kufahamu Hamadi kwa sababu aliongea haraka. Mpaka safari ya Zanzibar, nitakaa na familia ya Mwalimu Rose. Ningependa kutembelea mahali zaidi katika Dar, lakini Ni bore nitunze pesa yangu kwa ajili masafari nyingine baadaye.
Picha hizi zinatokea usiku mwisho wetu katika Arusha na pia kizuru chetu kwenda UAACC. Some of us actually recorded a song with a local producer who works there, hence the pic of me in the studio. Greetings to all! Miss you and look forward to receiving your emails. I don't have an address, but I am checking my emails every few days. Salaam.

0 comments:

  © Blogger templates The Professional Template by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP