August 13, 2008

Arrived In Mombasa


Assaalaam alaikum kutokea Mombasa, Kenya. Nimefika salama. Nimefurahi sana. Ningependa kuwaonyesha vitu vichache kuhusu Mombasa. Kwanza, mji huu alikuwa muhimu sana kwa historia ya pwani ya afrika mashariki. Unakaribisha kujienjoy ukiangalia picha yangu! Mostly I have just been walking around looking at temples and mosques. I have a whole set to follow from Fort Jesus.

1 comments:

Caroline August 13, 2008 at 3:46 PM  

Sasa?

I'm just now checking out your blog. Man, these pictures beautiful! Can't wait to see more of them and read about of your adventures.

CM

  © Blogger templates The Professional Template by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP